Saturday, January 26, 2019

ARUSHA NA MWANZA NAKO MAMBO NI MOTO

 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa matembezi ya kuimarisha afya yaliyofanyika jijini Mwanza asubuhi.
 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Mwanza wakifanya matembezi wakati wa matembezi ya kuimarisha afya yaliyofanyika jijini Mwanza asubuhi.

  Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Arusha wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa matembezi ya kuimarisha afya yaliyofanyika jijini Arusha asubuhi.

  Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Arusha wakifanya matembezi wakati wa matembezi ya kuimarisha afya yaliyofanyika jijini Arusha asubuhi.

No comments:

MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TEWW

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Oktoba 25, 2025 ni mgeni rasmi katika kongamano la kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Taasisi ya Elimu y...