Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa Lindi, Gibson Mwaigomole akimkabidhi bahasha ya zawadi kutoka kwa wafanyakazi wa Lindi, Mstaafu Mama Asha Mwamba ambaye amestaafu rasmi utumishi wa umma Septemba, 2018. Sherehe ya kumuaga Mama huyo ilifanyika mjini Lindi.
Meneja wa Shirika la Nyumba la Taifa Mkoa wa Lindi, Gibson Mwaigomole akimkabidhi bahasha ya zawadi kutoka kwa wafanyakazi wa Lindi, Mstaafu Mama Asha Mwamba ambaye amestaafu rasmi utumishi wa umma Septemba, 2018. Sherehe ya kumuaga Mama huyo ilifanyika mjini Lindi.Sherehe fupi ya kumuaga Mama Mwamba ikiendelea ambapo kulikuwa na viburudisho vya vyakula na vinywaji vya kutosha.
Sherehe fupi ya kumuaga Mama Mwamba ikiendelea ambapo kulikuwa na viburudisho vya vyakula na vinywaji vya kutosha.
Comments