NAIBU WAZIRI WA ARDHI ANGELINA MABULA ATEMBELEA OFISI ZA NHC LINDI AKIWA ZIARANI LINDI

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula akiwasili katika ofisi za Shirika la Nyumba la Taifa mkoa wa Lindi alipokuwa katika ziara ya siku mbili tar 5 - 6/06/ 2018 Mkoani Lindi akikagua mifumo ya kodi ya Ardhi katika Halmashauri za Mkoa wa Lindi.
Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Lindi, Gibson Mwaigomole akitoa ripoti ya utekelezaji wa shughuli za Shirika la Nyumba mkoa wa Lindi kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula alipokuwa katika ziara ya siku mbili tar 5 - 6/06/ 2018 Mkoani Lindi ambapo pia alikagua mifumo ya kodi ya Ardhi katika Halmashauri za Mkoa wa Lindi.
 Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Lindi, Gibson Mwaigomole akikabidhi ripoti ya utekelezaji wa shughuli za Shirika la Nyumba mkoa wa Lindi kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula alipokuwa katika ziara ya siku mbili tar 5 - 6/06/ 2018 Mkoani Lindi ambapo pia alikagua mifumo ya kodi ya Ardhi katika Halmashauri za Mkoa wa Lindi.
 Meneja wa Shirika la Nyumba mkoa wa Lindi, Gibson Mwaigomole akitoa ripoti ya utekelezaji wa shughuli za Shirika la Nyumba mkoa wa Lindi kwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula alipokuwa katika ziara ya siku mbili tar 5 - 6/06/ 2018 Mkoani Lindi ambapo pia alikagua mifumo ya kodi ya Ardhi katika Halmashauri za Mkoa wa Lindi.
 Naibu Waziri wa Ardhi Mh.Angelina Mabula alipotembelea ofisi za NHC Lindi na kupokea taarifa fupi ya shughuli za shirika.
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angeline Mabula akizungumza na wafanyakazi wa NHC katika ofisi za mkoa wa Lindi alipokuwa katika ziara ya siku mbili tar 5 - 6/06/ 2018 Mkoani Lindi akikagua mifumo ya kodi ya Ardhi katika Halmashauri za Mkoa wa Lindi.

Comments