Thursday, January 27, 2011

Migomo migomo tuuuu


Wanafunzi wa Chuo Kikuu kishiriki cha kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMUCCO) cha chuo kikuu cha Tumaini, ya Masoka kilichopo Mwika Moshi Vijijini wakiwa wamegomea kuingia madarasani jana wakipinga kuchelewa kupatiwa mikopo na miundombinu duni ya majengo chuoni hapo. (picha na Dionis Nyato)

1 comment:

emu-three said...

MAMBO HAYOOO, YALE YALE YA TUNISIA, NA KESHO NASIKIA MISRI, HAPA KWETU BADO, NDIO NDOGONDOGO ZIMEANZA...

NHC YAKABIDHI MSAADA KWA WATU WENYE ULEMAVU UBUNGO

  Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), kupitia kwa Afisa wake Mkuu wa Habari, Yahya Charahani, limekabidhi msaada wa vifaa vya kusaidia watu we...