Buriani Jaji Mapigano

Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Jaji Dan Mapigano wakati wa mazishi yake yaliyofanyika leo jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro).
Rais Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Jaji Dan Mapigano wakati wa mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam leo jioni. viongozi mbalimbali wa kitaifa akiwemo Makamu wa Rais Dr.Mohamed Gharib Bilal, Waziri mkuu Mizengo Pinda, Jaji Mkuu Othman Chande na waziri mkuu mstaafu Joseph Sinde Warioba, walihudhuria Mazishi hayo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Jaji Dan Mapigano wakati wa ibada ya mzishi iliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam leo jioni



Comments