MPIRA UMEKWISHA MATOKEO NI KILIMANJARO STAZ 2 NA HARAMBEE STAAZ 1
Kilimanjaro Staaz wameandika bao la pili kupitia kwa mshambuliaji Dan Mruanda dakika ya 88 baada ya kuwatoka mabeki wa harambee staaz na kufunga bao tamu sana. Kwa hiyo staaz inaongoza bao 2-1 na wakati huo huo mchezaji Amiri Maftaha amepewa kadi nyekundu kwa mchezo mbaya dhidi ya Samwel Ochieng dakika za lala salama.

Comments