Monday, March 19, 2012

Dk Mwakyembe yuko fiti!!

Naibu Waziri wa Ujenzi Dk Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam ofisini kwake kuhusiana na maendeleo ya Afya yake nakusema kwamba yeye sasa yuko fiti kiafya, na ameripoti ofisini rasmi leo hii alipoulizwa maswali kutoka kwa waandishi wa habari akasema mambo yote anaichia serikali kupitia tume maalumu iliyoundwa kufutilia suala la ugonjwa wake. (PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)

Dr Mwakyembe akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari mbalimbali leo ofisini kwake

No comments:

BRELA: VIJANA RASIMISHENI VIKUNDI KUNUFAIKA NA FURSA ZA KIUCHUMI

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewahimiza wanafunzi na wahitimu wa Vyuo Vikuu Nchini kuanzisha, kujiunga na kurasimisha vi...