Monday, March 19, 2012
Rais Jakaya Kikwete Amwapisha Meja Jenerali Samwel Ndomba Kuwa Mkuu Mpya wa JKT
Dk Mwakyembe yuko fiti!!
Naibu Waziri wa Ujenzi Dk Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam ofisini kwake kuhusiana na maendeleo ya Afya yake nakusema kwamba yeye sasa yuko fiti kiafya, na ameripoti ofisini rasmi leo hii alipoulizwa maswali kutoka kwa waandishi wa habari akasema mambo yote anaichia serikali kupitia tume maalumu iliyoundwa kufutilia suala la ugonjwa wake. (PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
Dr Mwakyembe akijibu maswali kutoka kwa waandishi wa habari mbalimbali leo ofisini kwake
Wednesday, March 07, 2012
CRDB Bank -Customer Information
Greetings.
Kindly note BOT has issued circular recently to commercial Banks, the circular requires clients to update particulars of their accounts.
The forms for updation of customers information can be found in CRDB Bank’s website under resources centre. The dully filled forms can be mailed in a scanned format to customer-hotline@crdbbank.com or send directly to respective branch before 14/03/2012.
I look foward to receiving maximum cooperation and timely filling of the forms.
NB; I have attached the Customer KYC Update Forms with this email and please you may share this information with other Tanzanians.
Regards,
Crispin S
RM-Tanzanite Account
President Kikwete presents Country Assesment Report to APRM team of experts
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi(CCM) Nape Nnauye Akutana na Naibu Mkurugenzi wa Kitengo cha Masuala ya Afrika wa Uingereza
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimfafanulia jambo Balozi Msaidizi wa Uingereza Hapa nchini, Susie Kitchens wakati wa mazungumzo yake na Mkugenzi wa Kitengo cha Masuala ya Afrika wa Uingereza Nick Pyle (hayupo pichani) aliyemtembelea katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akimkaribisha Naibu Mkurugenzi wa Kitengo cha Masuala ya Afrika wa Uingereza Nick Pyle aliyemtembelea katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi Msaidizi wa Uingereza hapa nchini, Susie Kitchens
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Naibu Mkurugenzi wa Kitengo cha Masuala ya Afrika wa Uingereza Nick Pyle (kushoto) aliyemtembelea katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam. Katikati ni Balozi Msaidizi wa Uingereza hapa nchini, Susie KitchensRAIS DKT. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE WA JUKWAA LA MABUNGE LA NCHI ZA MAZIWA MAKUU (FP-ICGLR) IKULU NDOGO TUNGUU, ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kiongozi wa Jukwaa la Mabunge la...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
Mwanamuziki toka Jamhuri ya KIdemokrasia ya Kongo, Mbilia Bel akitumbuiza katika viwanja vya bunge mjini Dodoma jana. Picha na Jube Tranquil...
-
(Picha na Yahya Charahani) Katika kijiji cha Mwanjoro, wilayani Meatu – Shinyanga, maisha bado yanapumulia kwenye nyumba za udongo na mapaa...
