Sunday, March 13, 2011

Lema azitungia wimbo vurugu za Arusha


Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, alipoonyesha CD iliyobeba wimbo alioutunga kuelezea vurugu na vifo vya Arusha, kulia ni Katibu wa Kanda ya Kinondoni Chadema Henry Kilowo. Picha na Venance Nestory.

No comments:

Dkt. Samia Suluhu Hassan Awasilisha Fomu za Kugombea Urais 2025

  Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan, a...