Monday, August 07, 2006

Kijijini kwetu ameingia kamanda

Haya wasomaji wangu katika pita pita yangu kule mitaaani nimekutana na blogu ya huyu mheshimiwa ikiwa imeanza kusheheni vitu vinavyopendeza, nikavutiwa siyo kwasababu ya kupita tu bali kwasababu najua nini hasa hazina aliyo nayo huyu mheshimiwa mkongwe katika fani, mwenye kushusha nondo zikashuka si mwingine bali ni Julius Samwel Magodi unaweza kumfikia kwa kubonya hapa

No comments:

HESLB NA ADAPT IT ZAINGIA MAKUBALIANO RASMI

Dar es Salaam, Jumatatu, Disemba 08, 2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeingia katika hatua nyingine ya mageuzi ya k...