Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akifungua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana. Kushoto kwake ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Ali Laay na anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akijadiliana jambo na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Ali Laay na anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando M
chechu baada ya kuzindua Mnara wa Mwalimu Julius Nyerere uliopo kwenye makao makuu ya NHC, Dar es Salaam.
Mnara wa Mwalimu Nyerere uliozinduliwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi leo mchana.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakifuatilia kwa kina uzinduzi wa jengo la Makao makuu ya Shirika hilo lijulikanalo kama KAMBARAGE HOUSE ikiashiria kumuenzi Rais wa Kwanza ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwasisi wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Uzinduzi wa jengo hilo la makao makuu umekwenda sambamba na uzinduzi wa Mnara wa Mwalimu Julius Nyerere uliofanywa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi.Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Ali Laay, huku Mshereheshaji wa shughuli hiyo, Ephraim Kibonde akiwasikiliza. Walifanya hayo wakati wa uzinduzi wa jengo la Makao makuu ya Shirika hilo lijulikanalo kama KAMBARAGE HOUSE ikiashiria kumuenzi Rais wa Kwanza ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwasisi wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Uzinduzi wa jengo hilo la makao makuu umekwenda sambamba na uzinduzi wa Mnara wa Mwalimu Julius Nyerere uliofanywa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akimkaribisha Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.
Mkurugenzi wa Fedha wa NHC, Felix Maagi akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akijianda kufungua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akifungua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana. Kushoto kwake ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Ali Laay na anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akifungua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana. Kushoto kwake ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Ali Laay na anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akikagua ndani ya jengo hilo jipya la makao makuu ya NHC akiongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akikagua ndani ya jengo hilo jipya la makao makuu ya NHC kulia kwake ni Almasi Kasongo wa NHC.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo kutoka kwa Mussa Efata wa NHC wakati akikagua jengo hilo jipya la makao makuu ya NHC.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akimpongeza Mzee Galus Abeid wakati wa uzinduzi wa jengo hilo
Mkurugenzi wa Usimamizi Milki wa NHC, Hamad Abdallah akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.
Mkurugenzi wa Ubunifu wa NHC, Issack Peter akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi akifurahi jambo baada ya kuzindua jengo la makao makuu ya NHC kwenye hafla hiyo fupi iliyofanyika leo mchana. Kushoto kwake ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Ali Laay na anayefuata ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.
Jengo la Makao makuu ya Shirika hilo lijulikanalo kama KAMBARAGE HOUSE ikiashiria kumuenzi Rais wa Kwanza ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwasisi wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere linavyoonekana sasa. Uzinduzi wa jengo hilo la makao makuu umekwenda sambamba na uzinduzi wa Mnara wa Mwalimu Julius Nyerere uliofanywa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi
Comments