Monday, January 30, 2012

Jengo jipya la AU






Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika (AU) lililozinduliwa na Rais wa China, Bw Hu Jintao jijini Addis Ababa jana, Januari 29, 2012. Jengo hilo ambalo limegharimu mamilioni ya dola za Kimarekani, limejengwa kwa udhamini wa China. PICHA NA IKULU

  ‎
Bodi ya Kitaaluma ya Ununuzi na Ugavi (PSPTB), inayofanya kazi chini ya Wizara ya Fedha, imetoa onyo kali kwa watahiniwa wote wa fani ...