Wednesday, July 02, 2014

DIAMOND PLATNUMZ NDANI YA BET RED CARPET NA BEHIND THE SCENE

Diamond Platnumz akipita kwenye Red Carpet ya BET mbele ya mapaparazi zaidi ya 200. Mwanamuziki huyu alionekana kuwavutia watu wengi na suti yake iliyokuwa imemkaa kisawasawa ambayo Waingereza wanasema  "Well Tailored Suit" By Designer Sheria Ngowi .
Mapaparazi zaidi ya 200 walichukua every step and moments za Red Carpet wakati Diamond akipita.…
Diamond Platnumz akipita kwenye Red Carpet ya BET mbele ya mapaparazi zaidi ya 200. Mwanamuziki huyu alionekana kuwavutia watu wengi na suti yake iliyokuwa imemkaa kisawasawa ambayo Waingereza wanasema  "Well Tailored Suit" By Designer Sheria Ngowi .
Mapaparazi zaidi ya 200 walichukua every step and moments za Red Carpet wakati Diamond akipita.
 Mwana Muziki Ne-Yo alimwita Diamond wakati akipita na kumwambia 'congratulation' jambo ambalo lilitushangaza kuona kumbe hata wanamuziki wa Marekani wamefuatilia sana habari za wanamuziki waliokuwa nominated kutoka mataifa ya Afrika.
Mwanamuziki Nelly alitushangaza pale alipomvuta koti Diamond kwa nyuma na kumwita kwa jina, tulishangaa sana kuona kumbe wanamuziki wa Marekani nao wanafuatilia habari za African Nominees.
Picha iliyotamba kwenye Blogs za Marekani jana -Diamond katika pozi la Kisheria Ngowi.
Hap Diamond aligeuka nakukuta aliyemvuta koti ni Nelly ambaye alimwambia congratulations.
Ndani kwenye award show Diamond na USA Manager wake DMK wakipata ukodaki.
 Behind The Scene Diamond akiwa na Super Designer aliyedesign suti yake, Sheria Ngowi.
Picha hii ilipigwa kutoka angani vile.
 Diamond akiwa na USA Tour Manager wake DMK akifanyiwa wakati akifanyiwa mahojiano kwenye Red Carpet.
Behind the scene Diamond akihojiwa na Factory 78 ya UK.
Behind the Scene Diamond katika picha ya pamoja na DMK ambaye ndiye USA Tour Manager wake.
Diamond akihojiwa na Karrueche Tran Kwenye Red Carpet (Karrueche ni Girlfriend wa Chris Brown),
Faith Evans ambaye ni Mke wa Marehemu BIG alipata nafasi yakupiga picha na Diamond.
Camrea yetu ilimpata Platnumz katika pozi hili.
Diamond akihojiwa na XXL Magazine kwenye Red Carpet pembeni yake ni USA Manager DMK.
Mtangazaji wa Fox Entertainment akimuhoji Diamond kwenye Red Carpet.


No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...