Thursday, July 24, 2014

PINDA AFUNGUA MKUTANO WA BRN PIA AWASILI NAIROBI KUMWAKILISHA KIKWETE MKUTANO WA MAZIWA MAKUU

PG4A5987 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiongozana na Katibu Mkuu, Kiongozi, Balozi Seif Sefue  (kulia) na Mtendaji Mkuu wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Dr. Omari Issa baada ya kufungua mkutano wa Mawaziri na Makatibu Wakuu kuhusu BRN kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam Julai 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A6060Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na baadhi ya watumishi wa ubalozi wa Tanzania nchini Kenya  baada ya kuwasili  wenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta   Julai 23, 2014 kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu kuhusu kupambana na tatizo la ajira kwa vijana unaotarajiwa kufanyiaka Julai 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A6056Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimana na Seneta wa Kirinyaga, Daniel Dickson Karaba baada ya kuwasili  wenye uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya  Julai 23, 2014 kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkutano maalum wa nchi za maziwa makuu kuhusu kupambana na tatizo la ajira kwa vijana unaotarajiwa kufanyiaka Julai 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...