MSD Yawanoa Watumishi Kanda ya Kilimanjaro Kuboresha Huduma za Afya

  Watumishi wa Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Kilimanjaro wanashiriki mafunzo maalum yenye lengo la kuimarisha uwajibikaji, mshikamano na ufa...