Wednesday, July 23, 2014

PINDA AZINDUA CHUO CHA VETA NA KUKABIDHIWA NYUMBA YA WALIMU SAME

PG4A5283 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na viongozi wa mkoa Kilimanjaro baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kilimanjaro  Julai 20, 2014  kwa ziara ya siku moja wilayani Same.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A5427
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la  Chuo cha Ufundi ( VTC)   cha Maore wilayani Same Julai 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A5458
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe katika uzinduzi wa   Chuo cha Ufundi ( VTC)   cha Maore wilayani Same Julai 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A5682
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Jaji  Mstaafu, Amir Manento baada ya kukabidhiwa  nyumba iliyojengwa  na Jaji huyo kama mchango wake kwa Wananchi wa kijiji alichozaliwa cha Mtii.  Nyumba hiyo ilitolewa kwa  Halmashauri ya Wilaya ya Same ili ilitumike kama makazi ya Walimu. Julai 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A5714
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na watoto wa kijiji cha Mtii wilayani Same baada  ya kukabidhiwa nyimba ya walimu iliyojengwa katika kijiji hicho na Jaji Mstaafu Amir Manento, Julai 20, 2014. (Picha na Ofisi ya  Waziri Mkuu)
PG4A5782
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda  (kushoto) akipokea zawadi ya miwa kutoka kwa mkazi wa kijiji cha Mtii wilayani Same (jina Halikupatikana)
PG4A5395 1
Mke wa Waziri uu Mama Tunu Pinda akipanda mti chuoni hapo.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...