Tuesday, July 08, 2014

PPF YAENDELEA KUNG’AA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA, JIJINI DAR ES SALAAM

 Afisa Mafao wa mfuko wa Pensheni wa PPF, Mercy Sammy akiwasikiliza wateja waliofika kattika banda la PPF kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayofanyika katika Viwanja vya Sabasaba
 Afisa Huduma Kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Bi Jackline Jackson (wa kwanza Kushoto) na Afisa Rasilimali Watu, Utawala na Ushauri wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Happiness Mmbando (Kulia) wakifurahi kwa pamoja mara baada ya wateja waliofika kwenye dawati lao katika maonyesho ya 38 ya biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam kuridhika na huduma walizowapatia
Mmoja wa wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF akijaza fomu ya kuomba maelezo ya michango yake wakati alipofika katika banda la PPF kwenye maonyesho ya sabasaba katika viwanja vya Mwl Nyerere anayeshuhudia pembeni ni Afisa Michango kutoka PPF Makao Makuu, Bi Glory Maboya
Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF wakiwahudumia wateja waliofika katika dawati lao kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar Es Salaam yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya sabasaba vilivyopo barabara ya Kilwa Jijini Dar Es Salaam.Picha zote na Josephat Lukaza – Lukaza Blog

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...