Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu muda mfupi baada ya kuswali sala ya Iddi El Fitr katika msikiti wa Maamur Upanga jijini Dar es Salaam juzi asubuhi.
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiswali sala ya Iddi El Fitr katika masjid Maamur Upanga jijini Dar es Salaam juzi asubuhi. Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment