Friday, July 11, 2014

PINDA AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO READING UINGEREZA

PG4A4882

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (kulia) wakiongozana na Madona Pemba (kushoto) , mtanzania aishie Uingereza kuelekea kwenye ukmbi wa mikutano  ili kuzungumza na watanzania waishio Reading Julai 10, 2014.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A4997
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda Kizungumza na baadhi ya watanzania washio Reading Uingereza baada kufanya  nao mkutano  Julai 10, 2014. Kutoka kushoto ni Maina Owino,Madona Pemba na Diana Mathew. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A4970
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda  (kushoto) akizungumza na mchungaji Kallaghe wa Kanisa la  Kiinjili la Kilutheri , maalum kwa Ibada za Kiswahili nchini Uingereza baada ya mkutano kati ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na watanzania waishio Reading  Julai 10 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A4945
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watanzania waishio Uingereza walioshiriki katika mkutano wake uliofanyika Reading Julai 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A4919
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi ya mipira  kutoka kwa watanzania waishio Reading nchini Uingereza  kabla ya kuzungumza nao Julai  10, 2014. Kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania waishio Reading, Hussein Chang’a. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A4906
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (kulia) wakisalimiana na baadhi ya watoto na wazazi  waliohudhuria mkutano kati yake na watanzania waishio Reading Uingereza Julai 10, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...