Thursday, July 10, 2014

Picha Mbalimbali Za Ziara ya Rais Jakaya Kikwete Bumbuli na Lushoto

  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasililiza kwa kamini wanafunzi kutoka Irente school for the Blind wakati walipoimba shairi maalumu wakati wa sherehe za ufunguzi wa ukumbi wa mihadhara wa Benjamin William Mkapa katika  chuo kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University SEKOMU jana.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Mkuu wa Chuo cha Sebastian Kolowa Memorial University SEKOMU  Askofu Dr.Stephen Munga(kushoto)Makamu Mkuu wa Chuo cha SEKOMU Dr.Anneth Munga(watatu kushoto) na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Chiku Galawa(kulia) wakikata utepe kuzindua rasmi ukumbi wa mihadhara wa Benjamin William Mkapa wilayani Lushoto jana
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikabidhi ufunguo kwa mmoja wa wakulima waliokopeshwa matrekta kwaajili ya kilimo wilyani Lushoto jana.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha wageni muda mfupi baada ya kuwasili katika Chuo Kikuu chA Sebastian Kolowa Memorial University mabapo alifungua ukumbi wa mihadhara na kuhutubia wananchi.Kushoto ni Mkuu wa Chuo cha SEKOMU Askofu Dr.Stephen Munga na kulia ni makamu wa chuo Dr.Anneth Munga.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwasililiza kwa makini wanafunzi kutoka Irente school for the Blind wakati walipoimba shairi maalumu wakati wa sherehe za ufunguzi wa ukumbi wa mihadhara wa Benjamin William Mkapa katika  chuo kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University SEKOMU jana.
  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wanafunzi wa wageni waliohudhuria sherehe ya ufunguzi wa ukumbi wa mihadhara wa Benjamin William Mkapa uliofanyika katika chuo kikuu cha Sebastian Kolowa Memorial University SEKOMU huko Lushoto Mkoani Tanga jana.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi walihiudhuria mkutano wa Hadhara huko Bumbuli Wilayani Lushoto jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa shule ya Usambara schools wakati aliposimama na kuwasalimia huko Lushoto jana ambapo alikagua miradi ya maendeleo na kuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Nyerere square mjini Lushoto jana.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...