Tuesday, July 08, 2014

RAIS KIKWETE AFANYA ZIARA INGINE TENA MAONESHO YA SABASABA

 d1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na makomandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania ambao ni sehemu ya maonesho katika banda la JWTZ kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena baada ya ziara yake ya mwanzo kutokamilika kutokana na muda. Makomandoo hao wanashinda wamesimama hivyo kutwa nzima bila kutikisika wala kupepesa macho na kuwa kivutio cha aina yake.(PICHA NA IKULU)
d2
d3
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi katika picha ya pamoja na viongozi na wafanyakazi katika banda la JWTZ alipomaliza kutembelea maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena  baada ya ziara yake ya mwanzo kutokamilika kutokana na muda.
d4 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na vija na wa skauti alipomaliza kutembelea maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena baada ya ziara yake ya mwanzo kutokamilika kutokana na muda.
d6
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la PPF kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena baada ya ziara yake ya mwanzo kutokamilika kutokana na muda.
d7
d10
Rais Jakaya Kikwete akiangalia samani kwenye banda la JKT kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena baada ya ziara yake ya mwanzo kutokamilika kutokana na muda.
d11
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TTCL kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena baada ya ziara yake ya mwanzo kutokamilika kutokana na muda.
d12
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TTCL kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena  baada ya ziara yake ya  mwanzo kutokamilika kutokana na muda.
d13 
Rais Jakaya Kikwete akiangalia samani kwenye banda la JKT kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena baada ya ziara yake ya mwanzo kutokamilika kutokana na muda.
d15
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TRA kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena baada ya ziara yake ya mwanzo kutokamilika kutokana na muda.
d16
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TRA kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena  baada ya ziara yake ya mwanzo kutokamilika kutokana na muda.
d17
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TRA kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena baada ya ziara yake ya mwanzo kutokamilika kutokana na muda hapa akizungumza na Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Rashed Bade.
d18
d19
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la Chuo Kikuu cha Ardhi kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena baada ya ziara yake ya mwanzo kutokamilika kutokana na muda. Ardhi university ndio washindi wa jumla wa mwaka huu.
d20
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea banda la Fursa sawa kwa Wote inayoongozwa na mke wa Rais wa Awamu ya Pili, Mama Anna Mkapa, kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea tena baada ya ziara yake ya mwanzo kutokamilika kutokana na muda.
d5
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watoto alipotembelea maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba kwa mara ya pili  baada ya ziara yake ya mwanzo kutokamilika kutokana na muda.
d14
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watoto alipotembelea maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba kwa mara ya pili  baada ya ziara yake ya mwanzo kutokamilika kutokana na muda.

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...