Balozi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Washington Dc na Mexico Liberata Mula mula akiwa kwenye picha ya pamoja na wagombea uongozi DMV, wajumbe wa bodi na wajumbe wa tume ya uchaguzi kwenye ofisi za ubaloi Washington Dc Ijumaa Julai 18,2014.
Wajumbe wa bodi ya DMV Bw.Ulotu na Mama Kimolo wakifuatilia kikao hicho.
Mgombea nafasi ya makamu rais Harriet Shangarai akifuatilia kikao hicho.
Wagombea wa nafasi ya katibu Bw. Mwilima kushoto na Bw.Mwamende.
Mgombea wa nafasi ya kaimu katibu Bi.Bernadetta Kaiza akiwa na katibu wa tume ya uchaguzi Bi.Asha Nyang'anyi.
Bw.Eliudi Mbowe kushoto akipata futari baada ya kikao na mgombea wa nafasi ya kaimu katibu Bw.Solomon Cris.Kwa piocha zaidi ungana na Sundayshomari.com
No comments:
Post a Comment