Afisa mwandamizi wa Idara ya Teknolojia ya Habari na Masoko kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. William Mabusi akiwaonesha wanafuzi wa kidato cha nne wa shule ya Sekondari ya Mivumoni Dodoso lililotumika wakati wa Sensa ya Watu naMakaziya mwaka 2012 jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.Wanafuzi wa kidato cha nne wa shule ya Sekondari ya Mivumoni wakisoma Dodoso lililotumika wakati wa Sensa ya Watu na Makaziya mwaka 2012 jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.Mkutubi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Bw. Issa Magabiro akimuonesha mteja moja ya machapisho yanayotolewa na Ofisi hiyo jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.Mrasimu ramani kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Jerve Gasto akiwasikiliza wateja waliotembelea Banda la Ofisi hiyo kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara. (Picha zote na NBS)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma
Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment