Tuesday, July 15, 2014

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI ATEMBELEA SHIRKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL)

DSC_0689 
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba (kulia), akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Mr. Salim Msoma wakati alipotembelea shirika hilo mwishoni mwa wiki kuongea na Bodi, Menejimenti na wafanyakazi wa Shirika hilo. Nyuma ya Mr Msoma ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa Shirika hilo, Kapteni Milton Lazaro.
DSC_0694
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba akisisitiza jambo wakati wa kikao chake na wajumbe wa bodi na menejiment ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), wakati alipoongea nao mwishoni mwa wiki katika ofisi za Makao ya Shirika hilo.
DSC_0701
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba, akisisitiza jambo wakati alipoongea na Bodi, Menejimenti na wafanyakazi wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Naibu Waziri aliwasisitiza watumishi hao kufanya kazi kwa bidii na kurudisha sifa ya shirika hilo.
(Picha na kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Uchukuzi)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...