Friday, July 11, 2014

Rais Jakaya Kikwete Akiteta na Kufurahia Jambo na mbunge wa Bumbuli-CCM January Makamba na Mbunge wa Lushoto- CCM Henry Shekifu

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiteta jambo na Wabunge wa Lushoto Mhe.Henry Shekifu kushoto na mbunge wa Bumbuli Mhe.January Makamba(kulia) muda mfupi baada ya Rais kuhutubia wananchi katika mkutano wa hadhara Jimbo la Bumbuli Wilayani Lushoto jana.Picha na Frddy Maro -IKULU

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...