Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya MO Resources Limited,Onesmo Sigalla (kulia), akitoa maelezo kwa kwa wajumbe wa Kamati ya Maji ya Mtaa wa King’ongo, Kata ya Salanga, Kimara, Dar es Salaam, kuhusu hatua aliyofikia ya usafishaji maji katika ujenzi wa kisima cha maji kilichojengwa kwa msaada wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kamati hiyo iliyokwenda kukagua maendeleo ya mradi huo jana, iliongozwa na Mwenyekiti wa Mtaa huo, Demetrius Mapesi (kulia). Wajumbe wengine ni Anna Kibwana (wa pili kulia) na Emannuel Isimbula.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment