Tuesday, July 15, 2014

VIONGOZI WA CHADEMA KATA YA RUAHA WASEMA WAMECHOSHWA NA UBABAISHAJI WA MBUNGE PETER MSIGWA KUTOKA CHADEMA WAREJEA CCM, WAMPA TANO KABATI

 Baadhi ya  nyaraka za  Chadema na kadi
Katibu  wa CCM mkoa akiangalia nyaraka ya siri ya kuhujumu uchaguzi  mkuu iliyotolewa na Chadema taifa  ambayo imekabidhiwa kwake na aliyekuwa katibu kata wa Chadema kata ya  Ruaha
 Mbunge Ritta Kabati  akisalimia  na maofisa wa  polisi  waliofika  kulinda  usalama katika mkutano  huo
  Diwani  wa kata ya Mtwivila Vitus  Mushi akisaliama na wadau  
 Makada  wa  Chadema  waliojiunga na CCM Iringa mjini  wakila kiapo
viongozi  wa Chadema  waliohamia  CCM jana katika mkutano wa CCM kuimarisha chama uliofanyika mtaa wa Kwa mwagongo

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...