CAG wa Tanzania Bw. Ludovick S. L Utouh. pamoja name wajumbe wenzie wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa wakisaini ripoti 29 za taasisi za umoja huo zilizokaguliwa. Wajumbe hao ni Bw. LiuJiayi kutoka China, Bw. Amyas Morse kutoka Uingereza ambae ni Mwenyekiti wa bodi na Bw. Shashi Sharma kutoka India. Ripoti hizo zilisainiwa tare he 24/7/2014
Picha ya makabidhiano ya mikoba ya ujumbe wa umoja wa mataifa iliofanyika kati ya mjumbe kutoka China anayemaliza muda wake wa miaka sita aliyesimama wa pili kutoka kulia na mjumbe mpya kutoka India wa pili kutoka kushoto
Picha ya pamoja kati ya CAG, watumishi wake pamoja na Mwenyekiti wa kamati ya ushauri wa ukaguzi wa umoja wa mataifa Be. Kamlesh Vikamsey.
CAG akifanya mahojiano na mwahandishi wa Habari wa redio ya umoja wa mataifa Bi Prisila lecomte
No comments:
Post a Comment