Wednesday, July 02, 2014

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LAPETA MAONYESHO YA 38 YA TANTRADE JIJINI DAR ES SALAAM

 Wateja mbalimbali waliofika katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) leo mchana wakisikiliza maelekezo kutoka kwa maafisa mauzo wa Shirika hilo. Aliyeketi ni Narindwa Norbert wa Shirika la Nyumba.
Ofisa Habari wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Edith Nguruwe akiwaelekeza wateja waliofika katika banda la shirika hilo kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es salaam
 Banda la shirika hilo lililopo kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es salaam

Wateja mbalimbali waliofika katika banda la maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) leo mchana wakisikiliza maelekezo kutoka kwa maafisa mauzo wa Shirika hilo. 
Emmannuel Lyimo wa Shirika la Nyumba la Taifa akitoa maelekezo kwa wateja waliofika bandani hapo

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...