Wednesday, July 23, 2014

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BARABARA YA MATEMANGA TUNDURU MANGAKA

D92A9730
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mbunge wa Tunduru mhandisi Ramo Makani, Balozi mdogo wa Japan Kazuyoshi Matsunaga na mwakilishi Mkazi wa Benki ya maendeleo ya Afrika(ADB) Bibi Tonia Kandiero wakifunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua ujenzi Barabara ya kilometa 195.7 ya Matemanga Tunduru-Mangaka uliofanyika Tunduru mjini.Barabara hiyo imejengwa na serikali ya Tanzania kupitia wakala wa Barabara TANROADS ikisaidiwa na Benki ya mendeleo ya Afrika ADB na shirika la maendeleo la Japan JICA.Hafla ya uzinduzi huo ilifanyika mjini Tunduru jana.
D92A9760
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Matemanga-Tunduru hadi Mangaka yenye urefu wa kilometa 195.7 wakati wa hafla iliyofanyika mjini Tunduru leo.Wengine katika picha kutoka kushoto ni Mbunge wa Tunduru Mhandisi Ramo Makani, Balozi mdogo wa Japan Kazuyoshi Matsunaga, Mwakilishi Mkazi wa ADB Bi.Tonia Kandiero na waairi wa Ujenzi John Pombe Magufuli. Barabara hiyo imejengwa na serikali ya Tanzania kupitia wakala wa Barabara TANROADS ikisaidiwa na Benki ya mendeleo ya Afrika ADB na shirika la maendeleo la Japan JICA.(picha na Freddy Maro)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...