Friday, July 11, 2014

VODACOM, UTT wazindua ushirikiano wa huduma ya M Pesa

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom, Salum Mwalimu, akizungumza kuhusu ushirikiano wa huduma ya M-Pesa na Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), wakati wa uzinduzi wa ushirikiano huo, katika kufanikisha huduma hiyo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa kitengo cha Udhibiti Rasilimali na Huduma za Uwekezaji wa UTT, Simon Migangala. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom, Salum Mwalimu, akielezea kuhusu ushirikiano huo wa huduma ya M-Pesa na Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), wakati wa uzinduzi wa ushirikiano wao katika kufanikisha huduma hiyo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa kitengo cha Udhibiti Rasilimali na Huduma za Uwekezaji wa UTT, Simon Migangala.

Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom, Salum Mwalimu, akielezea hatua za kufuata katika simu ya mteja kwa ajili ya kufanikisha kulipia michango ya uanachama ya UTT kupitia M-Pesa, wakati wa uzinduzi wa ushirikiano na UTT katika kufanikisha huduma hiyo, Dar es Salaam leo. Kulia ni Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa kitengo cha Udhibiti Rasilimali na Huduma za Uwekezaji wa UTT, Simon Migangala.

Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), Issa Wahichinenda (katikati), akielezea hatua za kufuata katika simu ya mteja kwa ajili ya kufanikisha kulipia michango ya uanachama ya UTT kupitia M-Pesa, wakati wa uzinduzi wa ushirikiano na Vodacom Tanzania katika kufanikisha huduma hiyo, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom, Salum Mwalimu na kulia ni Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa kitengo cha Udhibiti Rasilimali na Huduma za Uwekezaji wa UTT, Simon Migangala. 

Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano ya Umma, kutoka kitengo cha Udhibiti Rasilimali na Huduma za Uwekezaji wa UTT, Daudi Mbaga, akitoa ufafanuzi na kujibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi huo.
Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano ya Umma, kutoka kitengo cha Udhibiti Rasilimali na Huduma za Uwekezaji wa UTT, Daudi Mbaga, akifafanuzi jambo alipokuwa akijibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi huo.

Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano ya Umma, kutoka kitengo cha Udhibiti Rasilimali na Huduma za Uwekezaji wa UTT, Daudi Mbaga, akitoa ufafanuzi na kujibu maswali mbalimbali ya waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi huo.
Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom, Salum Mwalimu, akizungumza kuhusu ushirikiano wa huduma ya M-Pesa na Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), wakati wa uzinduzi wa ushirikiano huo, katika kufanikisha huduma hiyo, Dar es Salaam leo. Katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Uendeshaji wa Dhamana ya Uwekezaji Tanzania (UTT), Issa Wahichinenda na kulia ni Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa kitengo cha Udhibiti Rasilimali na Huduma za Uwekezaji wa UTT, Simon Migangala. 

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...