Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Miengo Pinda akiwasili kwenye banda la Kampuni ya Property Itnernational Limited ya jijini Dar es salaam wakati alipotembelea banda hilo Katika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa (TANTRADE) kwenye viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere barabara ya Kirwa jijini Dar es salaam, Ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kampuni hiyo inayojihusisha na miradi mikubwa ya upimaji na uuzaji wa viwanja vilivyopimwa kitaalamu maeneo mbalimbali nchini. kulia aliyeongozana naye ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dr. Abdallah Kigoda.Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akimsikiliza Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Property International Limited Bw. A. Haleem wakati akitoa maelezo kuhusu miradi mbalimbali inayotekelezwa na kampuni hiyo nchini wakati alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonyesho ya 38 ya TANTRADE katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar essalaam.Kutoka kulia ni Wakuu wa kampuni hiyo Mkurugenzi Mohamed Mahfoudh, Abdu Thabit , Hashim Thabit na Masoud Saeed Alawi wakimsubiri Mh. waziri Mkuu Mizengo Pinda wakati alipotembelea bada lao.Waziri Mkuu Mizengo Pinda wa pili kutoka kushoto akimsikiliza mmoja wa wafanyakazi wa kampuni hiyo wakati akitoa maelezo kuhusu shughuli za kampuni hiyo Kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara na katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Property International Limited Bw. Bw. A. Haleem na kutoka kulia ni Mkurugenzi wa TANTRRADE Bi. Anna Bulondo na Mkurugenzi wa kampuni ya Property International Limited Mohamed Mahfoudh.Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiagana na wakuu wa kampuni hiyo mara baada ya kutembelea banda lao kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa TANTRADE kwenye viwanja vya Sabasaba barabara ya Kilwa leo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma
Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment