Saturday, July 26, 2014

RAIS DK. SHEIN AFUTURISHA WANANCHI, IKULU ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akijumuika na Viongozi katika futari aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Mke wa Rais wa zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) akijumuika na wake wa Viongozi mbali mbali akiwemo Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar Mama Shadya Karume (wa pili kushoto) katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
Akina mama wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakiwa katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakijumuika katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...