Mhasibu kutoka Ofisi ya Mhasibu Mkuu wa Serikali Martha Mgella (kulia) akitoa ufafanuzi kwa wateja waliotembelea Banda la Wizara ya Fedha jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.Afisa Masoko wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF) Elivine Assey (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa mtejajuu ya utaratibu wa kujiunga na Mfuko huo jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.Afisa Masoko wa Mfuko wa Mafao ya Kustaafu (GEPF) Elivine Assey (kushoto) akitoa ufafanuzi kwa mtejajuu ya utaratibu wa kujiunga na Mfuko huo jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.Afisa Ugavi Mkuu kutoka Wakala wa Ununuzi Serikalini (GPSA) Moses Kitangala akiwaelimisha wateja jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.Afisa kutoka Taasisi ya Uhasibu Tanzania George Kadutu akiwaelimisha wateja jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Rished Bade(kulia) akibadlishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezoya Kubahatisha Abbas Tarimba(kushoto) jijini Dar es Salaam kwenye maonesho ya 38 ya Kimataifa ya Biashara.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma
Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment