Wednesday, July 16, 2014

MTOTO WA RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AJUMUIKA NA WADAU WA BENKI YA FNB KUPATA IFTARI YA PAMOJA JIJINI DAR


Pichani kulia ni Mgeni rasmi,Mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya pili,Mh,Ali Hassan Mwinyi,Abdallah Ali Hassan Mwinyi kwenye hafla ya Iftari ilioandaliwa na benki ya FNB,na kufanyika kwenye bustani ya Serena Hotel jijini Dar hapo jana,anaefuatia kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa benki ya FNB, Ndugu Dave Aitken akiwa na baadhi ya wageni waalikwa wengine.
Mgeni rasmi Abdallah Ali Hassan Mwinyi sambamba na Mkurugenzi Mkuu wa benki ya FNB, Ndugu Dave Aitken wakijumuika pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo wakiwa pia na baadhi ya wateja wa benki ya FNB waliolikwa kwenye hafla ya Iftari ilioandaliwa na benki hiyo jana jioni katika bustani ya Serena Hotel jijini Dar . 

 Baadhi ya Wadau wa benki ya FNB wakiwa kwenye hafla ya Iftari.

Baadhi ya wadau wa FNB Benki wakijadiliana jambo huku wakipata Iftari iliyoandaliwa na benki hiyo maalum kwa wateja wao katika bustani ya Serena hotel hapo jana.
Pichani kulia ni Mgeni rasmi,Mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya pili,Mh.Ali Hassan Mwinyi, Bw Abdallah Ali Hassan Mwinyi akiongoza wageni waalikwa kupata Iftari ya pamoja ilioandaliwa na benki ya FNB, kwenye bustani ya Serena Hotel jijini Dar hapo jana.
Wageni walikwa na wadau wakubwa wa benki ya FNB wakiendelea kupata Iftari.
Mambo ya kupata Iftari ya pamoja ilioandaliwa na benki ya FNB.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...