Thursday, March 21, 2013

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWA VATICAN ROMA

IMG_0290 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na Mkewe Tunu wakifanya mahojiano na mtangazaji wa Radio Vatican, Padri Richard Mjigwa (katikati)  kweye  moja kati ya studio  za Raido hiyo Mjini Roma walikohudhuria sherehe za  kusimikwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Diuniani, Papa Francis 1 Machi 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  na Mkewe Tunu wakiongozwa na Padri  Alquine Nyirenda wa Makao Makuu  ya Shirika la Watawa wa Benedikti, Roma kutoka kwenye Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro la Roma walikohudhuria  sherehe za  kumsimikwa kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis 1 kwenye viwanja vya Kanisa hiloMachi 19,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0541 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kulia) wakipata maelezo  kuhusu historia ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro la Roma kutoka kwa Padri Alquine Nyirenda wa Makao Makuu ya Shirika la Watawa wa wa Benedikti, Roma walikohudhuria sherehe za kusimikwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, Machi 202013. (Picha na Ofisi ya Waziri IMG_0768
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mtaifa la Chakula (FAO), Jose Graziano da Silva wakati alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo Mjini Roma, Machi 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

  IMG_0777
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza jambo kutoka kwa  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la  Chakula la Umoja wa Mataifa, FAO Bw. Jose Graziano da Silva kabla ya kusaini kitabu cha wageni baadae walifanya  mazungumzo yao katika   makao makuu ya FAO mjini Roma, 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Machi  IMG_0784 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisindikizwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la  Chakula la Umoja wa Mataifa, FAO Bw. Jose Graziano da Silva baada ya mazungumzo yao wakati alipotembelea  makao makuu ya FAO mjini Roma, Machi 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1 comment:

Anonymous said...

Excellent way of telling, and pleasant article to take data
concerning my presentation subject matter, which i am going to
deliver in institution of higher education.

Look into my web-site click here

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...