Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na
mgeni wake Rais wa China Xi Jinping wakiweka mashada ya maua katika
makaburi ya wataalamu wa China waliofariki wakati wa ujenzi wa Reli ya
TAZARA.Viongozi hao waliweka mashada hayo ya maua katika makaburi hayo
yaliyopo katika kijiji cha Majohe,Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete na
mke wa Rais wa China Mama Peng Liyuan wakiweka maua katika makaburi ya
wataalamu wa China waliofariki wakati wa ujenzi wa Reli ya TAZARA huko
katika kijiji cha Majohe,Ukonga nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam huku
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wa Rais Xi Jinping wakishuhudia.Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment