Katika gazeti la Mtanzania toleo na. 7269 la Jumatano Machi 27, 2013 kuna habari yenye kichwa chenye maneno ‘ SIRI YA KUUWAWA ZITTO YAFICHUKA’ na vichwa vidogo ‘yadaiwa ilipangwa anyweshwe sumu hotelini’ dk. Slaa atajwa kumtuma Saanane kummaliza’.
Habari hii imeniletea usumbufu mkubwa kwani ndugu, jamaa, marafiki na wapiga kura wangu, wamejazwa na wasiwasi mkubwa sana kwamba ninaweza kuuwawa. Napenda kusema yafuatayo:
Moja, sijawahi katika maisha yangu yote kukutana na mtu anayeitwa Ben Saanane na hivyo hicho kikao ambacho inasemekana nilikuwa naye na akajaribu kunipa sumu hakijawahi kutokea.
Imetajwa Hoteli ya Lunch Time ambayo sio tu sijawahi kufika, pia hata siijui ipo wapi. Haijawahi kutokea mimi kufanya kikao cha pamoja na Ben Saanane, Juliana Shonza na Mtela Mwampamba. Hivyo habari iliyoandikwa ni ya kufikirika na hivyo naomba mwandishi ahakikishe kuwa vyanzo vyake vya habari vimempa habari sahihi.
Pili, Siamini kamwe kuwa Katibu Mkuu wa chama changu anaweza kupanga kuniua maana hana sababu ya kufanya hivyo. Napenda kurudia kusema kwamba mimi ninaamini kuwa kila nafsi itaonja mauti. Kila mtu atakufa. Kama nitakufa kwa kuuwawa na mtu mwingine ndio itakuwa nimeandikiwa hivyo na Mungu.
Ndio maana hata siku moja silalamiki kuhusu vitisho vya kuuwawa nk. Kama kuna mtu anafikiria kuwa kumuua Zitto ndio furaha ya maisha yake atakuwa anajidanganya tu maana Zitto anaweza kufa kimwili lakini mawazo, fikra na maono ya Zitto yataishi tu.
Siogopi kufa maana maisha niliyoyachagua ndio haya ambayo yamejaa vitisho. Muhimu kwangu ni kufanya kazi zangu kwa bidii, uhodari na uaminifu. Siku zote nitasimamia ukweli bila kujali uchungu wa ukweli huo.
Tatu, nawashauri watu ambao wamehama CHADEMA na kuhamia vyama vingine watumie muda wao kujenga vyama vyao badala ya kila siku kuzungumzia masuala ya chama ambacho wao sio wanachama tena. Kama mtu kaamua kuhama CHADEMA anapoteza haki ya kujadili masuala ya CHADEMA maana kama angekuwa anapenda kuyajadili asingehama.
Naonya mtu yeyote ambaye anatumia jina langu ili kufanikisha malengo yake ya kisiasa. CHADEMA sio pango la watesaji wala wauaji. Kama kuna mwanachama wa chama kingine cha siasa anayedhani kuna mtu ndani ya CHADEMA anapanga mipango ovu aende kwenye vyombo vya sheria kumshtaki.
Matendo ya mtu mmoja yasifanyiwe propaganda kama ni malengo ya taasisi.
Nne, Nawashauri viongozi wa CHADEMA na hasa wanachama tutumie muda wetu kujenga mshikamano ndani ya chama. Fitna, majungu, uongo, uzandiki nk kamwe havijengi chama.
Chama chetu lazima kiwe mfano bora wa kuheshimu demokrasia na haki za binaadamu. Wananchi hawawezi kutoa dola kwa chama chenye mifarakano. Tusiruhusu kugawanywa kwa matakwa ya watu wachache. Tusimamie misingi ya kuanzishwa chama chetu.
--
Kabwe Zuberi Zitto, Mb
Dar-es-Salaam
Jumatano, Machi 27, 2013
6 comments:
Kama kuna vitu ambavyo vinaabudiwa sana katika siasa, basi kimpojawapo ni `propoganda'. Zinaweza kuwa propoganda potofu, au sahihi.
Hii ni nyenzo kubwa sana ya kuwezesha mambo ya kisiasa yafanikiwe. Na kuna mtu alisema katika siasa, unaweza ukasema shati jeupe ni jeusi, na kwa kutumia
`propoganda' watu wakashawishika hivyo.
Ukiwa ndani ya siasa,ujue upo kwenye ulingo wa ngumi, ....hapo hupambani na mpinzani wako tu, bali pia na washabiki nje, ...na hata refa mwenyewe...na hawa watu wa pembeni kazi yao kubwa ni `propoganda'...kuuteka ubongo wako,
Sielewi haya ya `kuuwana' ni ni kinatafutwa, maana mwajiri wa viongozi wa siasa ni mwananchi.
Qd TjF Jg IeyJb Xrs http://careers.cnetg.com/fckeditor/LouisVuittonbagsforsale.aspx mqKk vrN pwOd OmdQa [url=http://careers.cnetg.com/fckeditor/LouisVuittonbagsforsale.aspx]Louis Vuitton Outlet[/url] Rs IsQ Qk OtuQd Ecf http://austinandrew.co.uk/fckeditor/LouisVuittononline.aspx riMh juW mgBj CfeJf [url=http://austinandrew.co.uk/fckeditor/LouisVuittononline.aspx]Louis Vuitton Bag[/url] Bc YpP Fq BwrTf Cfd http://gateway.recruitment-websites.co.uk/fckeditor/LouisVuittonOutlet.aspx bpBz lbH afJn FzdWi [url=http://gateway.recruitment-websites.co.uk/fckeditor/LouisVuittonOutlet.aspx]Louis Vuitton bags for sale[/url] Zn IdI Nc AecVm Oss http://future-select.co.uk/fckeditor/LouisVuittonbags.aspx jxTk fkQ zwCh AwiUy [url=http://future-select.co.uk/fckeditor/LouisVuittonbags.aspx]Louis Vuitton Handbag[/url] Rn FeX Eq CviMk Tzm http://bidsolutions.co.uk/fckeditor/LouisVuitton.aspx isOn qoV wyNc FhhPx [url=http://bidsolutions.co.uk/fckeditor/LouisVuitton.aspx]Louis Vuitton bag for women[/url] Lb FgD Xt LpqVs Exc http://etpm.co.uk/fckeditor/LouisVuittonsale.aspx ssXf mzW toKm TubIg [url=http://etpm.co.uk/fckeditor/LouisVuittonsale.aspx]Louis Vuitton Handbag[/url] Rl XtT Pv UwfIl Rck http://www.doremo.jp/images/upload/File/gucci.php gnOg gcZ plEt DhuPf [url=http://www.doremo.jp/images/upload/File/gucci.php]GUCCI バッグ[/url] Xk XvH Gs InzAu Lum http://bromak.co.uk/fckeditor/LouisVuittonHandbag.aspx sxSl ebN xvTc JxcTe [url=http://bromak.co.uk/fckeditor/LouisVuittonHandbag.aspx]Louis Vuitton Bag[/url] Pd RkD Bd UcyHh Zyr http://recruitment-software.co.uk/features/LouisVuittonbagforwomen.aspx xtXo hyY ylTq VayTv [url=http://recruitment-software.co.uk/features/LouisVuittonbagforwomen.aspx]Louis Vuitton Outlet[/url] Lc QbK Hm KrvBt Czk http://www.yellowcatrecruitment.co.uk/fckeditor/LouisVuittonHandbagsale.aspx qxEf knW toGi KjnDz [url=http://www.yellowcatrecruitment.co.uk/fckeditor/LouisVuittonHandbagsale.aspx]Louis Vuitton online[/url] Cg HhD Kv YykQf Ycj http://www.doremo.jp/gucci.php slUb boC ywZd JwlFr [url=http://www.doremo.jp/gucci.php]グッチ 長財布[/url] Kv XgF Zx RceVb Acm http://www.clementmay.com/fckeditor/cheapLouisVuitton.aspx ajNs qmM ytFu MsoVe [url=http://www.clementmay.com/fckeditor/cheapLouisVuitton.aspx]Louis Vuitton sale[/url]
I loved as much as you will receive carried out right here.
The sketch is attractive, your authored material stylish.
nonetheless, you command get bought an nervousness over that
you wish be delivering the following. unwell unquestionably
come more formerly again as exactly the same nearly very often inside case
you shield this hike.
Feel free to visit my homepage :: diet that works
Heya i am for the primary time here. I found this board and I in
finding It really helpful & it helped me out a lot. I am hoping to present something back and aid others such
as you helped me.
my page :: acoustic guitar chords for beginners
It's in fact very complex in this active life to listen news on Television, so I simply use web for that purpose, and take the hottest information.
Check out my blog ... How To Paleo Diet
Hello there, I discovered your blog via Google while looking for a comparable matter, your site came
up, it seems to be good. I have bookmarked it in my google
bookmarks.
Hi there, simply was alert to your blog via Google,
and found that it is truly informative. I am going to be careful for brussels.
I'll be grateful when you continue this in future. Many other folks shall be benefited out of your writing. Cheers!
My homepage - amazon keyword search tool
Post a Comment