Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku medali mmoja ya wauguzi
wakongwe nchini aliyewahi pia kuwa Mbunge na Msajili wa Wauguzi na
Wakunga Mama Jitto Ram wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Baraza la
Uuguzi na Ukunga katika bustani ya Mnazi Mmoja Jana Machi 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweha saini kitabu cha maombolezo
alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na
gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP 2942 Koplo Elikiza nyumbani
kwa marehemu sehemu za Ununio ,jana Machi 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole mume wa
marehemu alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani
aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita jana WP Koplo
Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio ,jana Machi 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji mume wa marehemu na
watoto pamoja na IGP Saidi Mwema alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa
Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita
jana WP Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio ,jana Machi
19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua kitabu cha historia ya Uuguzi
na Ukunga nchini wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Baraza la Uuguzi
na Ukunga Tanzania katika bustani ya Mnazi Mmoja jana Machi 19, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiondoka baada ya kufungua rasmi Maabadara
ya kisasa ua Uhandisi Jeni (Genetic Engineering) katika kituo cha
utafiti wa Kilimo cha Mikocheni jijini Dar es salaam jana Machi 19, 103.
Kushoto ni Dkt Chrtistopher Chiiza na wa pili kulia ni Mku wa kituo
hicho Bw. Joseph Ndunguru.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment