Wednesday, March 13, 2013

Mamia Wajitokeza Kwenye Mkutano wa CHADEMA Mjini Musoma

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (MB) akiihutubia Mkutano wa hadhara wa Chama hicho Mjini Musoma Mkoani Mara.
Sehemu ya  Umati wa watu waliohudhuria mkutano huo


Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (MB) jana alihutubia Mkutano wa hadhara wa Chama hicho Mjini Musoma Mkoani Mara. Mbali na Mbowe pia viongozi wengine akiwepo Mbunge wa Musoma pia alihutubia mkutano huo.

No comments:

TRC YASAFIRISHA ABIRIA 5,512,995

  Shirika la Reli Tanzania (TRC) lilianza kutoa huduma ya usafirishaji abiria kutumia reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) mnamo mwezi Juni...