Meneja
Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (kulia) akimkabidhi mshindi wa
mwezi Januari wa Promosheni ya Amka Millionea na Airtel, Bi. Agnes
Hassan Chakame mfano wa hundi ya shilingi milioni 15 baada ya kuibuka
mshindi wa promosheni hiyo. Agnes ni mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa
Pwani. Akishuhudia ni Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde.
Mshindi wa mwezi Januari wa Promosheni ya Amka Milionea na Airtel, Bi. Agnes Hassan Chakame akionyesha mfano wa hundi ya…
Meneja
Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando (kulia) akimkabidhi mshindi wa
mwezi Januari wa Promosheni ya Amka Millionea na Airtel, Bi. Agnes
Hassan Chakame mfano wa hundi ya shilingi milioni 15 baada ya kuibuka
mshindi wa promosheni hiyo. Agnes ni mkulima na mkazi wa Rufiji mkoa wa
Pwani. Akishuhudia ni Afisa Uhusiano wa Airtel, Jane Matinde.
Mshindi
wa mwezi Januari wa Promosheni ya Amka Milionea na Airtel, Bi. Agnes
Hassan Chakame akionyesha mfano wa hundi ya shilingi milioni 15 mara
baada kuibuka mshindi wa Promosheni ya Amka Milionea na Airtel.
No comments:
Post a Comment