Monday, March 11, 2013

BASI LA KILIMANJARO LAPATA AJALI MOMBO LEO

Baadhi ya abiria wakiwa nje ya basi lao la Kilimanjaroo Express lenye namba za usajili T860 BVA walilokuwa wamepanda wakitokea jijini Dar kuelekea jijini Arusha mapema leo asubuhi,ajali hiyo imetokea eneo la Mombo ambapo chanzo cha ajali hiyo kinaelezwa kuwa ni dereva wa basi hilo alikuwa akimkwepa muendesha baiskeli,matokeo yake basi hilo likakosa mwelekeo na kupinduka,aidha katika jali hiyo inaelezwa kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa lakini hakuna aliyepoteza maisha. Picha na Habari na Michuzi

No comments:

MAJALIWA: FANYENI TAFITI ZENYE TIJA KWA WANANCHI

Dar es Salaam, 18 Juni 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa watafiti na wapangaji wa s...