Rais wa China, Mhe. Xi
Jinping na mke wake wakiteremka kwenye ndege mara baada ya kuwasili
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es
Salaam jana kwa Ziara ya Kitaifa ya siku mbili hapa nchini.
Mhe. Rais Xi Jinping akikagua Gwaride maalum lililoandaliwa kwa heshima yake.
Mhe. Rais Xi Jinping na
mwenyeji wake Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania wakiwasalimia baadhi ya kina mama wa Dar es Salaam
waliofika Uwanjani hapo kwa ajili ya mapokezi.…
No comments:
Post a Comment