Wednesday, April 12, 2017

JESHI LA MAGEREZA NCHINI WAJADILIANA NA NHC NAMNA YA KUENDELEZA MAKAZI MAKAO MAKUU DODOMA

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika picha ya pamoja na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa baada ya kikao kirefu kilichozungumzia namna pande hizo mbili zitakavyoweza kushirikiana kuendeleza eneo la Msalato Mkoani Dodoma kwaajili ya kujenga nyumba za makazi za Makamanda watendaji wa Jeshi hilo kwenye makao makuu ya nchi Dodoma.
Ujumbe wa Shirika la Nyumba la Taifa ukifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa na ujumbe wake katika kikao kirefu kilichozungumzia namna pande hizo mbili zitakavyoweza kushirikiana kuendeleza eneo la Msalato Mkoani Dodoma kwaajili ya kujenga nyumba za makazi za Makamanda watendaji wa Jeshi hilo kwenye makao makuu ya nchi Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa NHC, Pius Tibazarwa na Mkurugenzi wa Ubunifu, Issack Peter wa Shirika la Nyumba la Taifa wakati wa mjadala uliokuwa ukiendelea na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa na ujumbe wake katika kikao kirefu kilichozungumzia namna pande hizo mbili zitakavyoweza kushirikiana kuendeleza eneo la Msalato Mkoani Dodoma kwaajili ya kujenga nyumba za makazi za Makamanda watendaji wa Jeshi hilo kwenye makao makuu ya nchi Dodoma.
 Ujumbe wa wa Jeshi la Magereza nchini ulioongozwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Dk. Juma Malewa ukifuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea na timu ya NHC  katika kikao kirefu kilichozungumzia namna pande hizo mbili zitakavyoweza kushirikiana kuendeleza eneo la Msalato Mkoani Dodoma kwaajili ya kujenga nyumba za makazi za Makamanda watendaji wa Jeshi hilo kwenye makao makuu ya nchi Dodoma.
 Majadiliano yakiendelea 

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...