Friday, March 22, 2013

Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete Wamjulia Hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyepumzishwa katika chumba cha dharura katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana.Mzee Kingunge alikimbizwa Hospitalini hapo baada ya kujisikia vibaya.jopo la madaktari bingwa linamfanyia uchunguzi Mzee Kingunga ili kubaini ugonjwa unaomsumbua. Aliyesimama Nyuma ya Rais ni mke wa Mzee Kingunge na kushoto ni mtoto wa Mzee Kingunge Bwana Kinjekitile.Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...