Mkurugenzi Mkuu
mstaafu wa TTCL Marehemu Adolar Enzi za Uhai Wake
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu
cha maombolezo wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi Mkuu
mstaafu wa TTCL Marehemu Adolar Mapunda
huko Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia
alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers
na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika
kitabu cha maombolezo wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi
Mkuu mstaafu wa TTCL Marehemu Adolar
Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye
pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard
Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe akiweka saini
katika kitabu cha maombolezo wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi
Mkuu mstaafu wa TTCL Marehemu Adolar
Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye
pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard
Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es
salaam jana Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya
Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alifariki usiku wa kuamkia jana.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiifariji familia ya marehemu
Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam jana Machi 29, 2013. Marehemu
Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania
Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,
alifariki usiku wa kuamkia jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mtoto wa marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es
salaam jana Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya
Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alifariki usiku wa kuamkia jana.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment