Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkabidhi zawadi ya kinyango
cha Kimakonde, Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha
Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake
walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya
Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kushoto) akibadilishana mawazo
na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti
cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na
hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang
Jimbo la Guangzhou, China.
Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (CCM, Dk.Asha-Rose
Migiro akimshukuru Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha
Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake
walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya
Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Khadija Aboud akisalimiana na Katibu wa
kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC),
Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum
iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la
Guangzhou, China.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai 'akitosi' kinywaji
kwenye kijiglasi maalum cha kinywaji, na Katibu wa Kitengo cha
kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang
Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika
Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigela akibadilishana
mawazo na Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha
Kikomunisti cha China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake
walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya
Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Khamis Suleiman Dadi akisalimiana na
Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha
China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla
maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la
Guangzhou, China
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) akimtambulisha
Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Maganga Sengelema, kwa Katibu wa kitengo
cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC), Huang
Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla maalum iliyofanyika
Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la Guangzhou, China.
2. Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa katika mazungumzo na
Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha
China (CPC), Huang Xianyao, Kinana na ujumbe wake walipokuwa na hafla
maalum iliyofanyika Machi 11, 2013, katika hoteli ya Dongfang Jimbo la
Guangzhou, China.Picha na Bashir Nkoromo
No comments:
Post a Comment