Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya muda mfupi kwa
viongozi mbunge wa viti maalum Ester Bulaya jana katika kambi ya RUVU
JKT.Rais Kikwete amefunga rasmi mafunzi hayo jana yaliyofanyika kwa wiki
tatu.
Mbunge
wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, akipokea cheti cha kuhitimu mafunzo ya
muda mfupi kwa viongozi kutoka kwa kaimu Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Muhingo
Rweyemamu wakati wakimaliza mafunzo ya JKT, katika Kambi ya Mgambo
kikosi cha 835 wilayani Handeni Mkoa wa Tanga.
Mbunge
wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, akiapa mbele ya kaimu Mkuu wa Mkoa wa
Tanga, Muhingo Rweyemamu, hayupo pichani, wakati wakimaliza
mafunzo ya JKT, katika Kambi ya Mgambo kikosi cha 835 wilayani Handeni
Mkoa wa Tanga.
Mbunge
wa Kinondoni Iddi Azani, akiapa wakati wa kumaliza mafunzo ya JKT
katika Kambi ya 835 ya Mgambo JKT, iliyopo katika Tarafa ya Mzundu
wilayani Handeni Mkoa wa Tanga.
Wabunge Halima Mdee na Ester
Bulaya pamoja na wenzao wakila kiapo wakati wa kuhitimu mafunzo ya muda
mfupi yaliyofanyika katika kambi ya jeshi la Kujenga Taifa Ruvu JKT huko
kibaha Mkoani Pwani jana
Mbunge
wa Biharamulo, Dk Athanas Mbassa, akiapa wakati wa kumaliza mafunzo ya
JKT katika Kambi ya 835 ya Mgambo JKT, iliyopo katika Tarafa ya Mzundu
wilayani Handeni Mkoa wa Tanga
Mbunge
wa Kiwani Pemba, Abdallah Haji Ali, , akiapa wakati wa kumaliza
mafunzo ya JKT katika Kambi ya 835 ya Mgambo JKT, iliyopo katika Tarafa
ya Mzundu wilayani Handeni Mkoa wa Tanga.
Wakwanza kushoto ni Mbunge wa Kinondoni Iddi Azani pamoja na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, ZItto Kabwe, wakihitimu mafunzo ya JKT katika kambi
ya 835 Mgambo JKT iliyopo Tarafa ya Mzundu wilayani Handeni Mkoa wa
Tanga.
Mbunge Viti maalum Raya Khamis , akiapa wakati wa kumaliza mafunzo ya
JKT katika Kambi ya 835 ya Mgambo JKT, iliyopo katika Tarafa ya Mzundu
wilayani Handeni.
wakwanza
katika mstari wa kushoto
ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe anayefuata ni Mbunge wa
Kinondoni Iddi Azani, wakiwa kwenye Paredi ya kumaliza mafunzo ya Jeshi
la Kujenga Taifa JKT Kikosi cha 835 Mgambo JKT kambi iliyopo katika
Kata ya Mgambo ilayani Handeni Mkoa wa Tanga.
Mbunge wa Mtera Mh. Livingstone Lusinde Kibajaji" (wa tatu toka kulia) akipiga kwata jana huko Ruvu
Baadhi ya Wabunge walikuwa
wakichukua mafunzo ya muda mfupi kwa viongozi katika Kambi ya Mgambo
kikosi cha 835 wilayani Handeni Mkoa wa Tanga.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama
Salma Kikwete, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa na viongozi
wengine wakiwa katika picha ya pamoja na waheshimiwa wabunge waliohitimu
mafunzo maalumu ya JKT jana.Picha Zote za Tanga na Hussein Semdoe
No comments:
Post a Comment