Meneja wa Mkoa wa Arusha NHC, James Kisarika na Meneja wa Ukaguzi wa Ndani wa NHC, Suresh Dhrona wakitafakari jambo katika hafla hiyo ya kuwaaga wajumbe wa Bodi iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza kuwashukuru bodi ya Wakurugenzi ya NHC iliyomaliza muda wake.
Meneja wa NHC Katavi Nehemia Msigwa (katikati) na wenzake wakitikisa Champagne kuashiria kuwatakia mema Menejimenti inayomaliza muda wake.
Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) waliomaliza muda wao wakipongezana baada ya mmoja wao kuzungumza na menejimenti
ya wafanyakazi wa Shirika hilo.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
aliyemaliza muda wake Shally Raymond alipokuwa akizungumza na menejimenti
ya wafanyakazi wa Shirika hilo.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
aliyemaliza muda wake Profesa Wilbard Kombe alipokuwa akizungumza na menejimenti
ya wafanyakazi wa Shirika hilo.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
aliyemaliza muda wake Profesa Tumsifu Nkya alipokuwa akizungumza na menejimenti
ya wafanyakazi wa Shirika hilo.
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)
aliyemaliza muda wake Godfrey Msella alipokuwa akizungumza na menejimenti
ya wafanyakazi wa Shirika hilo.
Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) aliyemaliza muda wake Subira Mchumo alipokuwa akizungumza na menejimenti ya wafanyakazi wa Shirika hilo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) aliyemaliza muda wake Injinia Kesogukewele Msita alipokuwa akizungumza na menejimenti ya wafanyakazi wa Shirika hilo mwishoni mwa wiki iliyopita.
Wasanii wa kundi la Dar Theatre wakicheza ngoma hoteli ya Serena katika hafla hiyo ya muagano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment