Mnadhimu
Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni na Mbuge wa Singida
mashariki (CHADEMA),Mh. Tundu Lissu akipinga hoja Bungeni mjini
Dodoma, Kushoto ni Mbunge wa iringa mjini (CHADEMA)Mch Peter Msigwa
Picha juu ni wabunge wa upinzani wakiwa wamesimama wote kwa pamoja kupinga hoja Bungeni.
Mnadhimu
Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Mh. Tundu Lissu (kulia} akijadiliana
jambo na Naibu Spika wa Bunge, Mh. Job Ndugai nje ya ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma.Wengine ni Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Mh.
Joshua Nassari na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Msigwa
Naibu Spika Bunge,Mh. Job Ndugai
(kulia) akionyeshwa makabrasha na Mbunge wa Arumeru Mashariki,Mh. Joshua
Nassari muda mfui baada ya kuahurishwa kwa kikao cha Bunge. Picha na
Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
No comments:
Post a Comment